Aziru
Mandhari


Aziru (alikuwa kiongozi wa Kanaani wa Amurru, eneo la kisasa la Lebanon, katika karne ya 14 KK. Alikuwa mwana wa Abdi-Ashirta, kibaraka wa Misri wa Amurru wa awali, na aliishi wakati mmoja na Akhenaten.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Moran, 1970, The Amarna Letters, EA 161, "An absence explained", pp. 247-248.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aziru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |