Nenda kwa yaliyomo

Borgou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Borgou ni moja ya mikoa kumi na mbili ya Benin. Una eneo la km2 25,856 na wakazi 1,202,095 (2013).

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Borgou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.