How Do U Want It
Mandhari
| “How Do U Want It” | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
| Single ya 2Pac akishirikiana na K-Ci na JoJo kutoka katika albamu ya All Eyez on Me | |||||
| Imetolewa | 4 Juni 1996 | ||||
| Muundo | 12-inch single | ||||
| Imerekodiwa | Oktoba 1995 | ||||
| Aina | Hip hop | ||||
| Urefu | 4:47 | ||||
| Studio | Death Row | ||||
| Mtunzi | Tupac Shakur Johnny Jackson Bruce Fisher Leon Ware Stanley Richardson Quincy Jones | ||||
| Mtayarishaji | Johnny "J" | ||||
| Certification | 2x Platinum | ||||
| 2Pac 2Pac akishirikiana na K-Ci na JoJo | |||||
| |||||
| Mwenendo wa single za K-Ci and Jojo | |||||
|
|||||
"How Do U Want It" ni wimbo wa 2Pac akishirikiana na K-Ci na JoJo na ulikuwa single ya tatu kutoka albamu ya All Eyez on Me. Ilikuwa Double A-side single kwenye "California Love", na wimbo umefikia nafasi ya #1 nchini Marekani kwenye chati za Billboard Hot 100 mnamo 1996. Nchini Uingereza, wimbo umefikia nafasi ya #17.
Imechukua sampuli ya Quincy Jones "Body Heat" kutoka katika albamu ayke ya mwaka wa 1974, Body Heat
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- How Do U Want It (LP Version)
- California Love (Long Radio Edit)
- 2 of Amerikaz Most Wanted (LP Version)
- Hit 'Em Up
Nafasi ya chati
[hariri | hariri chanzo]| Chati (1996) | Nafasi iliyoshika |
|---|---|
| U.S. Billboard Hot 100 | 1 |
| U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 1 |
| U.S. Billboard Hot Rap Singles | 1 |
| RIANZ New Zealand Singles Chart | 2 |
| UK Singles Chart | 17 |
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- interview with Heather Hunter Ilihifadhiwa 6 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- MVDBase entry Ilihifadhiwa 15 Mei 2011 kwenye Wayback Machine.
