Martin Block
Mandhari
Martin Block (3 Februari 1903 – 18 Septemba 1967) alikuwa mtangazaji wa redio kutoka Marekani. Inasemekana kwamba Walter Winchell alibuni jina "disc jockey" kama njia ya kuelezea kazi ya Block katika redio. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]{{reflist}}
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martin Block kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ Rohter, Larry (16 Agosti 2010). "Museum Acquires Storied Trove of Performances by Jazz Greats". New York Times. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)