Nenda kwa yaliyomo

Polynesia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pembetatu ya Polynesia
* 1. Polynesia * 2. Hawaii * 3. New Zealand * 4. Kisiwa cha Pasaka * 5. Samoa * 6. Fiji * 7. Tahiti

Polinesia (kutoka Kigiriki: πολύς, polius, vingi, + νῆσος, nesos, kisiwa, yaani visiwa vingi) ni eneo la visiwa 1,000 hivi katika Pasifiki ya kati na kusini.

Laenea kati ya Hawaii, Nyuzilandi na Kisiwa cha Pasaka. Eneo hili laitwa "Pembetatu ya Polinesia".

Visiwa vya Polinesia

[hariri | hariri chanzo]
Soko mjini Papetee (Polinesia ya Kifaransa)
Hori la Christchurch kwenye pwani ya mashariki ya New Zealand
Nyumba ya Tahiti (uchoraji wa Kizungu mnamo 1842)
Hawaii kwa macho ya ndege
Visiwa na funguvisiwa zifuatazo ni sehemu za Polynesia:
Nchi huru
Visiwa vya Cooknchi inayoshirikana na Nyuzilandi
Kiribati(nchi huru)
Nyuzilandi(nchi huru)
Niuenchi inayoshirikana na Nyuzilandi
Samoa(nchi huru)
Tonga(nchi huru)
Tuvalu(nchi huru)
Maeneo yaliyo chini ya nchi za nje
Samoa ya MarekaniEneo la ng'ambo la Marekani
Polinesia ya KifaransaEneo la ng’ambo la Ufaransa
HawaiiJimbo la Marekani
Kisiwa cha PasakaEneo la ng’ambo la Chile
PitcairnEneo la ng’ambo la Uingereza
TokelauEneo la ng’ambo la Nyuzilandi
Wallis na FutunaEneo la ng’ambo la Ufaransa
Maeneo ya nchi za Polynesia nje ya Pembetatu ya Polynesia
AnutaEneo la Visiwa vya Solomon
EmaeEneo la Vanuatu
KapingamarangiEneo la Shirikisho la Mikronesia
MeleEneo la Vanuatu
NuguriaEneo la Papua Guinea Mpya
NukumanuEneo la Papua Guinea Mpya
NukuoroEneo la Shirikisho la Mikronesia
Ontong JavaEneo la Visiwa vya Solomon
PileniEneo la Visiwa vya Solomon
RennellEneo la Visiwa vya Solomon
SikaianaEneo la Visiwa vya Solomon
TikopiaEneo la Visiwa vya Solomon
TakuuEneo la Papua Guinea Mpya
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.