Nenda kwa yaliyomo

Sam Moore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samuel David Moore

Samuel David Moore (12 Oktoba 193510 Januari 2025) alikuwa mwimbaji wa Marekani aliyefahamika zaidi kama mshiriki wa duo ya soul na R&B, Sam & Dave, kuanzia mwaka 1961 hadi 1981. Alikuwa mwanachama wa Rock & Roll Hall of Fame, Grammy Hall of Fame (kwa wimbo "Soul Man"), Vocal Group Hall of Fame, na National Rhythm & Blues Hall of Fame. [1]

  1. Pareles, Jon (Oktoba 29, 2002). "POP REVIEW: Sam Moore, Breaking and Mending Hearts". The New York Times. Iliwekwa mnamo 2014-05-24.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sam Moore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.